Kipa wa Chipukizi, Fumu araza (18) akiruka na mlinzi wake, Seif Hamad
kumdhibiti mshambuliaji wa Bandari Sakleh Khamis (kulia) Chipukizi 2 Bandari 0.
Mlinzi wa Chipukizi, Saleh Khamis (kushoto) akimzuia mshambuliaji wa Bandari, Ismail Seif.
Mlinzi wa Bandari, Kassim Hariri (kulia) akipambana na mshambuliaji wa Chipukizi, Faki Sharif.
Mshambuliaji wa Bandari, Ismail Seif (kulia) akijaribu kumtoka mlinzi wa Chipukizi Saleh Khamis jana kwenye uwanja wa Amaan.
Mshambuliaji
wa Chipukizi, Faki Sharif (kushoto) na mlinzi wa Bandari, Kassim Hariri
wakiwania mpira kwenye pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar
jana kwenye uwanja wa Amaan.
Chipukizi ilishinda mabao 2 - 0.
0 maoni:
Post a Comment