Timu ya katonga A
ambao ni mabingwa wa mkoa wa Kigoma wakimaliza mashindano ya kupiga makasia ya
Bia ya Balimi kwenye Ziwa Tanganyika
Meneja wa Bia ya Balimi Edith Bebwa kulia akishuhudia
namna wachezaji wa timu mbalimbali walivyokuwa wakitoana jasho kwenye fainali
ya Mashindano ya Kupiga makasia ya Bia ya Balimi kwenye ziwa Tanganyika
Mabingwa wa mashindano ya Balimi boat race mkoa wa kigoma
upande wa wanaume Timu ya Katonga A wanaume wakishangilia mara baada ya kuwa
mabingwa wa mkoa huo na kukabidhiwa jumla ya shilingi laki tisa kama zawadi ya
ushindi wa kwanza
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mh Ramadhani Maneno akimkabidhi
kitita cha Shilingi laki saba kepteni wa timu ya wanawake ya upendo bi mawazo
shaban Juhudi mara baada ya kuibuka kidedea kwenye fainali hiyo.





0 maoni:
Post a Comment