Sunday, October 21, 2012

MUONEKANO WA TANGAZO LA NDOVU SPECIAL MALT

Sehemu ya umati mkubwa wa watu wakishudia bango hilo linalodhihirisha ubora na usahihi mkubwa wa Bia ya Ndovu Special malt
Tangazo la Ndovu Special Malt la 3D…Ni la kwanza Tanzania na lipo katika kiwango tofauti sana kinachoweza kumfanya mtu na mpenzi wa bia hiyo kupata wasaaa wa kuona kile kinachoifanya bia hiyo kuwa tofauti naya kimataifa zaidi
Wananchi mbalimbali wa jiji la Dar Es Salaam wakishuhudia namna bia ya Ndovu Special Malt ilivyofanikiwa kuwekwa katika teknolojia ya hali ya juu zaidi naya Kwanza Nchini Tanzania ya 3D ambayo inamfanya mtu kuweza kuona picha hizo kwa ukaribu mkubwa zaidi na ubora Zaidi.Bango hilo lipo eneo la Conner Bar Sinza

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU