Friday, October 5, 2012

MH MAMA TUNU PINDA ATEMBELEA MAONYESHO YA ASALI NA BIDHA ZINAZO TOKANA NA NYUKI

 Mama Tunu Pinda akisalimiana na mtalamu wa asali bibi Mery Winzer Canning kutoka kutoka Cambridge 
 Mke wa waziri mkuu mh mama Tunu Pinda akipata maelezo kutoka kwa mtafiti wa tiba asilia wa chuo kikuu cha muhimbili bwana Danieli Kamala kuhusu dawa zinazo tengenezwa kwa kutumia asali maonyesho hayo ya bidhaa zinazo tokana na nyuki yameanza leo katika viwanja vya Mwalimu juliasi kamabarage barabara ya kilwa jijini dar es salaamu ambapo yana jumuisha halima shauri zote nnchini zinazo zalisha asali picha na chris mfinanga
Mama Tunu Pinda akiangalia chupa ya asali katika mabanda yanayo onyesha bidha hizo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU