Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu mkubwa ulkiofanywa
katika kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa
vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto
amekojolea Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi
uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye magari yaliyokuwa yameegeshwa ndani
ya kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu
za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana
Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa
kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu
za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa baadhi ya waumini wa Kanisa
la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam kufuatia uharibifu mkubwa
uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati
wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto
amekojolea Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la
Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa
uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati
wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto
amekojolea Msahafu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Askofu Msaidizi wa Kanisa
la Kiinjili la Kirutheli Dayosisi ya Dar es salaam na Pwani Mkosimonga
uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar
es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari
kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana
Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa
kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu
za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu
0 maoni:
Post a Comment