Mwakilishi wa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania bw Saleh Mshoro
(katikati) akiongea wakati wa uzinduzi wa Huduma itakayowawezesha wateja wa
Airtel nchi nzima kulipa kodi ya mapato na Majengo kwa kupitia Huduma ya
Airtel Money, kulia ni Mkurugenzi wa Biashara za Mashirika wa Airtel bi Irene Madeje Mlola na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa huduma na elimu kwa
mlipa kodi bw Allan Kiula
Mwakilishi wa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania bw Saleh Mshoro
na Mkurugenzi wa Biashara za Mashirika wa Airtel bi Irene Madeje Mlola na
Kaimu Mkurugenzi wa huduma na elimu kwa mlipa kodi bwn Allan Kiula kwa
pamoja wakionyesha kipeperushi wakati wa uzinduzi wa Huduma itakayowawezesha wateja wa Airtel kulipa kodi ya mapato na Majengo kwa
kupitia Huduma ya Airtel Money. Uzinduzi huu ulifanyika leo katika makao
makuu ya Airtel Morocco
Mkurugenzi wa Biashara za Mashirika wa Airtel bi Irene Madeje Mlola (Kulia)
akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa Huduma itakayowawezesha wateja wa
Airtel kulipa kodi ya mapato na Majengo kwa kupitia Huduma ya Airtel
Money,pichani katikati ni Mwakilishi wa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya MapatoTanzania bw Saleh Mshoro akiongea na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa huduma
na elimu kwa mlipa kodi bwn Allan Kiula.
0 maoni:
Post a Comment