Waziri wa uwezeshaji katika ofisi ya waziri mkuu mh Mery Nagu akiwa
anaelekea katika kufungua washa ya mpango mkakati wa utekelezaji katika
kukuza uchumi kulia mwenye miwani ni katibu mtendaji wa baraza la taifa
la uwezeshaji Dr Anaclet Kashuliza na kushoto ni mwenye kiti wa baraza
la taifa la uwezeshaji bwana Emanuel Kamba washa hiyo ilihusisha idara
za serekali pamoja na tasisi za serekali washa hiyo imefanyika jijini
Dar es salaam
0 maoni:
Post a Comment