Friday, November 9, 2012

                          KAMATI YA UCHAGUZI YA DRAF CHINI YA MWENYEKITI JUMA SIMBA.


Wagombea 36 wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea uongozi katika chama cha soka mkoa wa DSM DRFA lakini ni mgombea mmoja anbaye hajarudisha fomu hiyo Self Magari.

Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya DRFA JUMA SIMBA amesema baada ya kupitia majini yote yameonikana yamekidhi vigezo lakini kunakipengele kimoja cha uendeshaji  ambacho wameshindwa kuelewa hivyo wameomba muongozo katika kamati ya uchaguzi ya TFF .

Katika nafasi ya kugombea uwenyekiti ni wagombea sita wamechukua fomu, makamu mwenyekiti ni wagombea watano ,mweka hazina mmoja na wajumbe mbalimbali .
Uchaguzi wa DRFA umepangwa kufanyika DESEMBA mwaka huu.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU