Mshambuliaji wa Malindi Abdallah Abbas (kulia) akituliza mpira mbele ya
mlinzi wa Duma, Mohamed Omar Mussa, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar
kwenye uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana.
Mshambuliaji wa Malindi, Abdallah Abbas (kulia) akichuana vikali na mlinzi wa Duma, Mohamed Omar Mussa kwenye uwanja wa Amaan.
Mlinzi wa timu ya Duma, Mohamed Omar Mussa (kushoto) akipambana na
mshambuliaji wa Malindi, Abdallah Abbas, ligi kuu ya Grand Malt ya
Zanzibar, uwanja wa Amaan jana.
0 maoni:
Post a Comment