Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na ujumbe wa kampuni inayojenga bomba
la gesi asilia kutoka Mtwata hadi Dar es salaam, Benki ya Exim ya China
na viongozi waandamizi wa serikali alipowakaribisha Ikulu kwa mazungumzo baada ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa bomba hilo maeneo ya Kinyerezi jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi ujenzi wa bomba la gesi
asilia toka Mtwara hadi Dar es salaam leo Novemba 8, 2012 maeneno ya
Kinyerezi njijini Dar es salaam. Nyuma yake ni Makamu wa Rais Dkt
Mohamed Ghalib Bilali.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali
na viongozi wengine wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo miundombinu ya bomba la gesi asilia toka Mtwara hadi
Dar es salaam leo Novemba 8, 2012 maeneno ya Kinyerezi njijini Dar es
salaam. Nyuma yake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali.
0 maoni:
Post a Comment