Timu ya simba imeifunika YANGA katika kutoa wachezaji wa timu ya Taifa Taifa Stars katika kikosi lichotajwa na kocha wa Stars Kim Paulsen .
Wachezaji walioitwa kutoka Simba ni JUMA KASEJA NASSORO SAID CHOLO, SHOMARI KAPOMBE, AMIR MAFTAH ,RAMADHAN SINGANO, MRISHO NGASA, MWINYI KAZIMOTO,EDWARD CHRISTOPHER NA AMRI KIEMBA .wakati wachezaji kutoka YANGA ni SAIMO MSUVA, ATHUMAN IDD KERVIN YONDAN NA FRANK DOMAYO na AZAM ikiwa na wachezaji AGREY MORRIS, DEOGRATIUS MUNISHI, ERASTO NYONI, JOHN BOCCO, SALUM ABUBAKAR na wachezaji wengine kutoka MTIBWA SUGAR ISSA RASHID na SHABAN NDITI na THOMAS ULIMWENGU pamoja na MBWANA SAMATHA wa TP MAZEMBE.
Timu hiyo inajiandaa na mashindano ya CHALLENGE
0 maoni:
Post a Comment