Monday, November 26, 2012

SHARO MILIONEA HATUNAE TENA DUNIANI AFARIKI DUNIA

Msanii wa vichekesho na muziki hapa nchini SHARO MILIONIEA amefariki DUNIA leo saa mbili usiku baada ya kupata ajari akiwa mkoani TANGA maeneo ya MUHEZA ambapo mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospital teule ya MUHEZA taarifa ni kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoani TANGA.

Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
AMINA

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU