Monday, November 26, 2012

YANGA HIYOO UTURUKI.



Timu ya Yanga inatarajia kwenda Uturuki kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na mashindano ya kombe la Kagame na Ligi kuu Tanzania Bara mara ya pili. Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Yanga Abdalla Bincleb amesema timu itaondoka December baada ya sikukuu ya Christmas ambapo watacheza mechi tatu za kirafiki na kurudi nyumbani ambapo watacheza  mechi nyingine za kirafiki.

Kwenda kwa Timu hiyo Uturuki ni ombi la kocha wa Yanga ambaye ameona Uturuki ni sehemu nzuri kwa ajili ya mashindano.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU