Monday, November 19, 2012

UJUMBE WA TANZANIA WAKIWA NCHINI BUKINAFASO KUJIFUNZA TEKNOLOJIA YA UHAULISHAJI ZAO LA PAMBA

Naibu waziri wa kilimo na ushirika mh Adamu malima akijadiliana jambo na katibu mkuu wa sayansi nautafiti wakatikati ni Profesa Hassanata Millogo ambaye ni mgeni rasimi katika mkutano ambao serekali ya tanzania na wabunge wana hudhuria nchini bokina Faso jinsi ya uzalishaji wa pamba kwakutumia teknolojia mpya ya uhaulishaji (BET) kulia ni mkurugenzi mkuu wa ushirikiano wa maendeleo afrika (NEPAD) Prof Diran Makinde mkutno huo wa mafunzo niwa siku tano amabao umeandaliwa na NEPAD na Tume ya sayansi tanzania Costech picha na chris mfinaga bukina faso 

Naibu waziri ofisi ya makamu wa raisi anaye shughulikia mazingira mh Chales Kitwanga katikati akimsikiliza mwana sheria wa ofisi ya makamu waraisi walipokuwa katika mkutano wa mafunzo ya teknolojia ya uhaulishaji wa zao la pamba nchini bukina faso kulia kushoto ni kaimu mkurugenzi wa utafiti costech Dr Nicholas  Nyange ujumbe huo upo nchini bukina faso kwa muda wa siku tano picha na chris mfinanga
                          Picha ya pamoja ya ujumbe wa tanzania na wenyeji wao nchini bukina faso

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU