Shehena ya pamba iliyo iliyopo katika katika kiwanda cha kuchambulia mkoa wa Bobo nchini Burkina faso
Naibu waziri ofisi ya makamu wa raisi anaye shugulikia mazingiara mh
Charles Kitwanga akiwa na mkurugenzi wa sayansi tanzania Prof Evelyene
Mbede wakiangalia zao lapamba inayo limwa kitika mkoa wa Bobo nchini
Burkina faso kwatumia teknolojia ya uhaulishaji BT picha na chris
mfinanga
Waziri wa sayansi na technolojia Prof Makame Mbarawa akipata maelezo
kutoka kwa bwana Sanu Zessouma ambaye ni mkulima wa pamba inayolimwa
kwakutumia BT inavyo toa mazao
mengi kusho ni mkurugenzi mkuu wa bodi ya pamba tanzania bwana Marko
Mtunga ujumbe huo watanzania upo nchini Burkina faso katika ziara ya
kujifunza ukulima wa teknolojia ya uhaulishaji pamba picha na chris
mfinanga
Ujumbe wa tanzania pamoja na wenyeji wazira ya mafunzowakiwa katika picha ya pamoja katika kiwanda cha kuchambulia pamba
0 maoni:
Post a Comment