Saturday, December 15, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMUAGA RAIS WA MADAGASCAR, ANDRY RAJOELIN BAADA YA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Rais wa Madagacar, Andry Rajoelina, wakati amkisindikiza kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam alipokuwa akiondoka nchini leo Desemba 15, 2012 kurejea nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku mbili hapa nchini. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kulia) akiagana na Rais wa Madagacar, Andry Rajoelina, wakati alipokuwa akimsindikiza kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Desemba 15, 2012 kurejea nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku mbili hapa nchini.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU