Monday, December 3, 2012

MJUNI MAKUBO ALIVYONG'AA NA MKEWE DOROTHEA MJUNI KATIKA HARUSI YAO NDANI YA UKUMBI WA MLIMANI CITY JUMAMOSI YA TAREHE 1

 Mr Na Mrs Mujuni Makubo wakiwa katika pozi mara baada ya kuingia ukumbini katika sherehe fuppi ya Ndoa yao iliyofanyika Katika Ukumbi wa Mlimani City Jumamosi ya Tarehe 1 Desemba 2012
Bwana Harusi Mjuni Makubo akiwa katika picha ya Pamoja na Baadhi ya Wapambe wao katika sherehe ya harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani city Jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012 Bwana Harusi Mjuni Makubo Pamoja na Mkewe wakiwa katika Picha ya Pamoja na Ndugu zake Kabla ya kuingia Ukumbini.Kutoka Kushoto ni Mugisha Msheluzi Makubo akifuatiwa na Mkewe Diana, Mdogo wa Bwana Harusi Fiona Makubo, Mjuni na Mkewe , Akifutiwa na Mdogo wake bwana Harusi Leoncia Makubo, Mama yake Mjuni Makubo Bi Lydia Makubo na Mdogo wake Lukiza Makubo
 Bibi Na Babu yake Mjuni Makubo, Mama Leoncia Lukaza na Justus Kato Lukaza (wazazi wa baba Mjuni Mzee Makubo) wakitoa neno kwa wajukuu zao Dorothea na Mjuni Makubo katika hafla ya harusi yao iliyofanyika Jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012 katika Ukumbi wa Mlimani City. Baba wadogo Wa Bwana Harusi Mjuni Makubo.Kutoka Kushoto Ni Mgisha Lukaza, Katikati ni Bwana Harusi Mwenyewe Mjuni Makubo na Mwisho ni Mwesigwa Lukaza wakiwa na nyuso za furaha baada ya kijana wao kuaga rasmi maisha ya ukapera
 Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria sherehe ya harusi ya Mjuni na Dorothea Makubo iliyofanyika Katika Ukumbi wa Mlimani City Jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012
Hii ndio Kamati Nzima ya Maandalizi ya Sherehe ya Harusi ya Mjuni na Dorothea Makubo iliyofanyika Jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012 katika Ukumbi wa Mlimani City
 Baba Mzazi na Mama Wa Bwana Harusi Mh Mjuni Makubo wakitoa nasaha kwa watoto wao mara baada ya kufunga ndoa takatifu na sherehe fupi kufanyika katika ukumbi wa mlimani city jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012.
 Wazazi wa Bibi Harusi wakitoa Nasaha kwa Watoto wao mara baada ya kufunga ndoa takatifu na sherehe kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City jumamosi ya Tarehe 1 Desemba 2012
Kwa Mila Za Kihaya Mwanaume anapooa Wazazi wake umkabidhi Mkuki Kwaajili ya Ulinzi na Sio kwaajili ya Kumdhuru na Kumpiga Mkewe.
Mzee Makubo (Baba Mzazi ) wa Bwana Harusi Mjuni Makubo Akimvalisha Kanzu ikiwa kama ishara na Mila za kihaya kwamba Ameshakuwa na anaweza Kuchangia katika Vikao vya Watu wazima
 Bwana na Bibi Harusi Mjuni Na Dorothea Makubo wwakisubiri kukata keki tayari kwa kulishana ikiwa ni ishara ya Upendo katika Ndoa yao.   Mkurugenzi wa Sakafu (Floor Manager) Wa Kwanza Kulia Mh Adolph akiteta Jambo na Mshereheshaji wa Shughuli hiyo Dr Cheni katika Sherehe ya Harusi na Bwana Na Bibi Mjuni Makubo iliyofanyika Jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012 Katika Ukumbi wa Mlimani City
 Zawadi kutoka Kwa ndugu jamaa na marafiki Baba Mdogo wa Bwana Harusi Jonnes Lukaza akifuatilia kwa makini kila Kinachoendelea katika Ukumbi huo
Mwanangu Mie huyo Lincorn Hakuwa Nyuma katika Kushuhudia Kaka yake akiaga kambi ya Makapera jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012 Ndani ya Ukumbi wa Mlimani City

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU