Pichani juu ni taswira mbalimbali za watoto wakijiachia ndani ya Dar Live muda huu, kabla ya Ndonga za mwaka kuanza kati ya mabondia Mbwana Matumla na David Charanga kutoka Kenya, bondia Mada Maugo na Yiga Juma wa Uganda na Bahati Mwafyela atakayechapana na Chupaki Chipindi. Baada ya ndondi hizo wakali Diamond Platinumz na Ommy Dimpoz watashusha shoo bab kubwa ndani ya ukumbi huo. Wapenzi wote wa burudani mnakaribishwa Dar Live leo.
USIKOSE KUANGALIA TBC 1 KILA SIKU NA KUSIKILIZA RADIO ZA TBC IKIWEMO TBC TAIFA,TBC FM NA TBC INTERNATIONAL KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI SIKILIZA TBC TAIFA SAA MOJA NA NUSU KILA SIKU
0 maoni:
Post a Comment