Mabingwa wa Kombe la Ujirani Timu ya hoteli ya Seronera wakifurahia
ushindi baada ya kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari
Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara jana. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa
mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya
wapinzani wao
Nahodha wa hoteli ya Seronera Jamali Kitonga akifurahia baada ya kukabidhiwa kombe la Ujirani mwema na Rais Jakaya Kikwetebaada
ya timu yake kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge
katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara Jana
Hasdi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju
ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani
wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nahodha wa timu ya hoteli ya Seronera Jamali Kitonga kombe la Ujirani mwema baada
ya timu hiyo kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons katika
Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara Hasdi mechi
inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati
ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na timu ya hoteli
ya Four Seasons Safari Lodge kabla ya kucheza na hoteli ya Serena
katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara.
hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju
ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani
wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na timu ya hoteli ya
Serena kabla ya kucheza na hoteli ya Four Seasons safari Lodge katika
Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. hadi
mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya
penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua timu ya hoteli ya Serena kabla
ya kucheza na hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa
Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. hadi mechi inaisha
timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo
Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
0 maoni:
Post a Comment