Meneja
Masoko wa Airtel Rahma Mwapachu akiongea na waandishi wa habari wakati
wa kuzindua huduma ya SMS kichizi ambapo wateja wa Airtel sasa wanaweza
kutuma sma kwa gharama ya shilingi 1 kwa sms masaa 24 kwa siku 7 za
wiki, katikati ni Meneja bidhaa na masoko Francis Ndikumwami na kushoto ni Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde
Meneja bidhaa na masoko Francis Ndikumwami akiongea
na waandishi wa habari wakati wa kuzindua huduma ya SMS kichizi ambapo
wateja wa Airtel sasa wanaweza kutuma ujumber mfupi (sms) kwa gharama ya
shilingi 1 kwa sms masaa 24 kwa siku 7 za wiki, katikati ni na kushoto ni Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde na kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Rahma Mwapachu







0 maoni:
Post a Comment