TIMU ya BLACK LEOPARD
inayoshiriki ligi kuu ya AFRIKA KUSINI inatarajia kuwasili nchini keshokutwa kucheza
mchezo wa kirafiki JANUARY 19 utakapigwa katika dimba la TAIFA majira ya saa
kumi jioni.
Katibu mkuu wa YANGA LAWRENCE
MWALUSAKO amesema kwa kushirikiana na kampuni ya PRIME TIME PROMOTION wameamuu
kuleta timu hiyo ili kuwonyesha mashabiki timu yao baada ya kutoka nchini
UTURUKI walikuwa wameweka kambi ya pamoja huku kiongozi wa PRIME TIME SHAFII
DAUDA akisema wameamua kusimamia mechi hyo pamoja na mkutano wa YANGA
utakaofanyika JANUARI 20 mwaka huu.
Kufuati timu ya YANGA kuwa
nje kwa takribani wiki mbili itatoa burudani kwa msabiki wake kuwaonyesha
kiwango cha soka baada ya kutoka UTURUKI.
0 maoni:
Post a Comment