Tuesday, February 12, 2013

EXTRA BONGO WAPAGAWISHA MASHABIKI GARDEN BREEZE

Wanenguaji qwa Bendi ya Extra Bongo wakionyesha walichokiahidi kwa mashabiki katika viwanja vya Magomeni Garden Breeze
Mkurugenzi wa Bendi ,Ally Chocky akiimba
Wacheza  shoo wakifanya vitu vyao
Amina  Kimobiteli ,sasa nimerudi nyumbani


Dah
Hapo.....
Wacheza shoo wakicheza
Wacheza shoo wakifanya vitu vyao

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU