Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi (kushoto)
akimkabidhi zawadi Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams wakati
hafla ya kutangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa
zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp
Adams,(kulia) akishukuru kupewa zawadi
wakati hafla ya kutangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji
wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini
Tanzania.Kushoto ni Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp
Adams,(kushoto) akikata utepe kuashilia uzinduzi wa kuitangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa
wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka
nchini Tanzania.Kulia ni Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi.

Adams,(kulia) na Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi wakiteta jambo
mara baada ya kuitangaza Kampuni ya Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu
wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania .

0 maoni:
Post a Comment