Waziri wa Kazi na Ajira, Gaundencia Kabaka (kulia) akisalimiana na
Kaimu Mkuu wa Idara ya Wateja Wakubwa na Uwekezaji wa Benki ya NBC,
Minnie Adolf Kibuta katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa
na benki hiyo kwa washiriki wa mkutano wa tatu wa Wadau wa Mfuko wa
Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye ukumbi wa mikutano wa
Kimataifa wa AICC,jijini Arusha juzi. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi
ya NSSF, Aboubakar Rajab.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaundencia Kabaka (katikati) akizungumza
katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa
na benki ya NBC kwa washiriki wa mkutano wa tatu wa Wadau wa Mfuko wa
Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye ukumbi wa mikutano wa
Kimataifa wa AICC,jijini Arusha juzi.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF), Crescentius Magori (kulia) akizungumza na Kaimu Mkuu wa Idara
ya Wateja Wakubwa na Uwekezaji wa Benki ya NBC, Minnie Adolf Kibuta
katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa
washiriki wa mkutano wa tatu wa Wadau wa NSSF kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha juzi.
Msanii wa muzii wa izazi kipya Naseeb Abdul ‘Diamond’ akikonga
nyoyo za wadau wa NSSF katika mkutano huo jijini Arusha juzi.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Wateja Wakubwa na Uwekezaji wa Benki ya
NBC, Minnie Adolf Kibuta (katikati) akipozi kwa pamoja na baadhi ya
wafanyakazi wa NBC katika hafla hiyo jijini Arusha juzi.
0 maoni:
Post a Comment