Monday, February 4, 2013

REDDS ORIGINAL YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KWA WAPENDANAO

Mmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo na kununua Redds sita kwa wakati mmojaMmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo na kununua Redds sita kwa wakati mmoja
Mmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo. Redds inaendesha promotion ya kipindi cha sikukuu ya wapendanao ambapo kilele chake ni tarehe 14/02/2013. Picha na Mtaa kwa mtaa

1 maoni:

Anonymous said...

Hi to every one, it's really a nice for me to pay a visit this web site, it includes priceless Information.
My blog - working from home job

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU