Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpa pole Bw. Selemani Saidi, mmoja wa majeruhi walionusurika katika jengo lililoporomoka katikati ya
jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya watu 25, katika wodi ya
Sewa Haji ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwasili katika wodi ya Taasisi
ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es
salaam kuwajulia hali vijana Mohamed Ally Dhamji (kushoto), Baqir Virani, ambaio ni kati ya majeruhi walionusurika katika jengo lililoporomoka katikati ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya watu 25
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwa katika wodi ya Sewa haji
ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es salaam leo Machi 31, 2013 wakimjulia hali na kumpa pole
kijana Baqir Dhamji, mmoja wa majeruhi walionusurika katika jengo
lililoporomoka katikati ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya
watu 25. Kulia ni Daktari C.N. Mcharo wa taasisi ya Mifupa ya MOI.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakimpa pole Bw. Yusuf Abdallah
ambaye ni mmoja wa majeruhi walionusurika katika jengo lililoporomoka katikati
ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya watu 25, katika wodi
ya Sewa Haji ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam. kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa), Mhe. Hawa Ghasia.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwa katika wodi ya Sewa haji
ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es salaam leo Machi 31, 2013 wakimjulia hali na kumpa pole
Bw. Selemani Saidi, mmoja wa majeruhi walionusurika katika jengo
lililoporomoka katikati ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya
watu 25 Kushoto mwenye suti nyeusi ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Raymond Mushi Kulia ni Daktari C.N. Mcharo wa taasisi ya Mifupa ya Moi.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwa katika wodi ya Taasisi ya
Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es
salaam wakimpa pole kijana Mohamed Ally Dhamji ambaye ni miongoni mwa majeruhi walionusurika katika jengo lililoporomoka katikati ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya watu 25
0 maoni:
Post a Comment