Sunday, March 3, 2013

SIMBA HOI KWA LIBOLO HUKO ANGOLA BAADA YA KUCHAPWA BAO 4-0, HUKU AZAM FC IKIIBUKA NA USHINDI WA BAO 5-0 DHIDI YA AL NASRI YA SUDAN KUSINI

 
WAWAKILISHA wa Tanzania, katika michuano ya Kombe Shirikisho (CAF),Yaendeleza ubabe baada ya kuilaza Al Nasri Juba ya nchini Sudan mabao 5-0, katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Juba, Sudan Kusini.
Katika mechi ya kwanza iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Azam FC iliibuka na ushindi wa mabao 3-1, hivyo kwa ushindi huo umeiwezesha Azam FC kusonga mbele kwenye michuano hiyo.
 
Kikosi cha Simba, kilichoikabili timu ya Libolo ya Angola leo, ukumuondoa Haruna Moshi. Kwa timu ya Simba imefungwa mabao 4-0 katika mchezo wake wa marudiano na timu ya Libolo ya Angola, katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa uliochezwa leo nje kidogo na mji wa Angola.

Bao la kwanza limefungwa katika kipindi cha kwanza na mabao matatu yakifungwa katika kipindi cha pili.

1 maoni:

Anonymous said...

Hi! Someone in my Myspace group shared this website with us so I
came to take a look. I'm definitely loving the information. I'm book-marking
and will be tweeting this to my followers! Exceptional
blog and wonderful style and design.

my page - http://denisboudreau.org/wiki/index.php?title=User:Filomena8L
Also see my webpage - online money making

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU