Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Anna Makinda
akizungumza kwenye hafla ya kupokea makombe ya ushindi yaliyoipatia
heshima kubwa Tanzania kupitia bia ya Safari Lager ambapo kampuni ya bia
nchini TBL iliupeka ushindi huo bungeni kama ishara ya kupata baraka za
bunge kabla ya kupeleka ushindi kwa watanzania kote nchini,Kushoto ni
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Anna
Makinda akizungumza kwenye hafla ya kupokea makombe ya ushindi
yaliyoipatia heshima kubwa Tanzania kupitia bia ya Safari Lager ambapo
kampuni ya bia nchini TBL iliupeka ushindi huo bungeni kama ishara ya
kupata baraka za bunge kabla ya kupeleka ushindi kwa watanzania kote
nchini,Kushoto ni Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na
Bunge, William Lukuvi ,kulia ni meneja wa bia ya safari lager osca
shelukindo na mkurugenzi wa TBL Miradi maalum bwana Phocus laswai
SRIKALI
imepokea ushindi wa mafanikio ya juu Barani Afrika na duniani ya tuzo
ambayo imeupata Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji cha
Safari Lager na kuzitaka kampuni nyingine kuiga mfano wa kampuni hiyo.
Hayo yamesemwa juzi bungeni na Spika wa Bunge,Anne Makinda, wakati uongozi wa kampuni ya TBL ilipopeleka bungeni kikombe cha ushindi kwa ajili ya kuanza kukizungusha kwa Watanzania wote.
"Ushindi uliopatikana si wa kampuni ya TBL pekee bali ni wa Watanzania wote hivyo Serikali hivyo ni nafasi nzuri sasa ya Watanzania kujivunia bidhaa zinazotengenezwa hapa nchini ili kuinua pato la Taifa, " alisema Spika Makinda.
Alisema kuwa kwa ushindi huo Serikali itakuwa bega kwa bega na kampuni ya TBL ili kuhakikisha kuwa inatoa msaada pale inapohiotajika ambpo kwa kuanzia alisema ofisi yake itaandaa kikao baina ya TBL, Bunge na Serikali ili kwa pamoja kutazama uwezekano wa serikali kuipatia kampuni ya TBL eneo kubwa kwaajili ya uanzishwaji wa mashamba ya kilimo cha kuzalisha maligafi nafaka zitumikazo katika utengenezaji wa bia na vinywaji visivyo na kilevi nchini.
Spika Makinda alisema kupatikana kwa ushindi huo wa juu duniani kwa kiwanyaji cha Safari ni jambo la kujivuania hivyo ni wakati sasa wa kuhakikisha kuwa upatikanaji wake wa bidhaa unakuwa rahisi.
"Ushindi huu ni chachu kwa makampuni mengine kuiga hata hivyo ni nafasi sasa ya wabunge kutengeneza nafasi katika majimbo yao ya kuhakikisha kuwa kilimo cha mtama na uwele kinapewa nafasi zaidi hapa nchini, " alisema.
Naye Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi alisema kuwa Serikali imefurahishwa na ushindi huo ambao umeitangaza dunia kuwa Tanzania ni kati ya nchi ambazo bidhaa zake zina ubora wa hali ya juu.
"Ushindi wa tuzo ya Safari umesaidia kuitangaza Tanzania hivyo ni jambo la kuvunia kwa Watanzania na sasa Serikali itaangalia namna ya kukifisha kikombe hicho Serikalini kwani si ushindi wa TBL pekee bali ni kwa wote.
Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo, alisema kuwa ushindi huo ni chachu kwa Watanzania na kutambua kuwa wanaweza kufanya jambo ambalo lisilotarajiwa.
"Kupatikana kwa ushindi huo ni sifa mojawapo kwamba Watanzania wanaweza kufanya jambo kubwa ambalo likaishangaza dunia sasa ni chachu kwa kampuni zingine ongeza juhudi ili kuhakikisha kuwa tunakuwa na bidhaa nyingi zinazozalishwa nchini zenye kiwango cha kimataifa, " alisema.
Naye mkurugenzi miradi maalumu wa TBL Bw.Phocus Laswai, alisema kuwa kutokana na ushindi huo kampuni hiyo ni wa Watanzania si kampuni ya TBL hivyo kikombe hicho kitazunguka nchini kote ili kutoa fursa kwa watanzania kuweza kushuhudia mafanikio hayo ya juu kabisa kuweza kufikiwa na bidhaa za kizalendo hapa nchini Tanzania ambpo katika safari hiyo kombe hilo litapelekwa kwa wakuu wa mikoa na wilaya kwaajili ya kupata Baraka zao kabla ya kuzungushwa katika mitaa mbalimbali.
"Baada ya kukamilisha kazi ya kulizungusha kwa Watanzania mbao ndio waliofanikisha kupatikana kwa ushindi huu duniani tutahakikisha kuwa tunaendeleza juhudi za kuhakikisha kuwa vinywaji vingine vinavyozalishwa na kampuni hiyo vinapata nafasi ya kuwa kati ya bidhaa bora duniani, " alisema.

Awali
ya hapo mpishi mkuu wa kampuni ya Bia nchi bwana gaudence Mkolwe
alisema ushindi wa jumla na ushindi wa bia bora zaidi barani Afrika
ulioupata Bia ya Safari haukuwa kiurahisi bali kulikuwa na mkusanyiko wa
bia nyingi toka katika makampuni ya utengenezaji wa bia toka katika
nchi za Bara la Afrika na kukawa na jopo kubwa la
Majaji toka katika pembe zote za dunia hasa wale wapishi waliobobea na
kuweza kufuata vigezo mbalimbali na hatimae Bia yetu ya kizalendo
kuibuka na ushindi huu mkubwa kabisa barani Afrika
0 maoni:
Post a Comment