Mufti wa Tanzania Sheikh Issa bin Shaaban Simba akimshukuru Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP Dkt Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi
milioni 100 kwa ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha
Kiislamu cha Al-Haramain kwenye hafla ya harambee iliyofanyika Jumamosi
usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mwenyekiti wa Makampuni
ya IPP Dkt Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 kwa
ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha
Al-Haramain kwenye hafla ya harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika
hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP
Dkt Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 na Mwenykiti
wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia aliyechangia shilingi milioni mbili
kwa ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha
Al-Haramain kwenye harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mufti wa Tanzania Sheikh Issa bin Shaaban Simba, KATIBU Mkuu wa Baraza la Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Suleman Lolila (wa pili kulia), Kadhi
Mkuu Sheikh Abdallah Mnyasi (kulia) na Shehe wa Mkoa wa Dar es salaam
Alhaj Alhad (kushoto) wakiomba dua baada ya harambee kusaidia upanuzi na
maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye hafla
iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es
salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika harambee ya kusaidia
upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain iliyofanyika
Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga baada ya kuwa mgeni rasmi katika
harambee ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha
Al-Haramain iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini
Dar es salaam
0 maoni:
Post a Comment