Mkuu wa Huduma za Usafirishaji Fedha wa Benki ya DTB, Chandni
Jiwa (wa pili kushoto) akikabidhi tiketi ya kwenda na kurudi Uholanzi
kwa Quraish Omari Shindo mmoja wa washindi wa promosheni ya Shinda
Tiketi Kuona Fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) iliyokuwa
ikiendeshwa na Western Union katika hafla iliyofanyika jijini Dar es
Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni, Meneja Masoko na Utafiti wa Benki ya Watu wa Zanzibar (TBZ), Seif Suleiman Mohammed na Meneja wa
Benki ya Posta Tanzania Tawi la Samora), Deo Kayega.
Meneja wa Tawi la Samora wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Deo
Kayega (wa tatu kushoto) akikabidhi zawadi ya king’amuzi kwa Nicetus
Joseph, mmoja wa washindi wa promosheni ya Shinda Tiketi Kuona Fainali
za Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) iliyokuwa ikiendeshwa na Western
Union katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Wengine
kutoka kushoto ni, Meneja Masoko na Utafiti wa Benki ya Watu wa
Zanzibar (TBZ), Seif Suleiman Mohammed na Mkuu wa Huduma za
Usafirishaji Fedha wa Benki ya DTB, Chandni Jiwa.
Meneja Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Andrew Chimazi
(kushoto) akionyesha mfano wa tiketi ya kwenda na kurudi Uholanzi
atakayopewa mshindi wa promosheni ya Shinda Tiketi Kuona Fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) iliyokuwa ikiendeshwa na Western Union
katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Wengine kushoto
kwake ni, Meneja Masoko na Utafiti wa Benki ya Watu wa Zanzibar (TBZ),
Seif Suleiman Mohammed na Mkuu wa Huduma za Usafirishaji Fedha wa
Benki ya DTB, Chandni Jiwa.
Mkurugenzi ya Kampuni ya twenty4 Brand Communications, Monte Bilal
Ikoa (kushoto) akizungumza katika hafla ambayo Western Union
walikabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi wa promosheni ya Shinda Tiketi Kuona Fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) iliyokuwa
ikiendeshwa na Western Union, hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam
leo.
0 maoni:
Post a Comment