Wakuvwanga Entertainment wanatarajia kuanzisha kampeni ya kwanza kutaka
kampuni hii ambayo inahusisha usambazwaji wa DVD za album ya kwanza ya
Wakuvwanga inayojulikana kama
KATO.Album hii inatarajiwa kuzinduliwa na kuanza kuuzwa tarehe 31st May
2013 siku ya ijumaa saa 12 asubuhi,wewe kama mmoja kwenye timu ya
wapiganiaji haki za wasanii na una uwezo wa kuitangaza kazi hii.
Tunategemea
kutoa pikipiki 5 wakati wa uuzaji huu ambazo zitapatikana kwa mtu
yeyote ambaye atapata bahati ya kununua DVD yenye label ya pikipiki
ndani.Tutakuwa na magari 5 abayo yatazunguka mji wa Dar Es Salaam kwa
siku zote tatu kwa wananchi watakaonunua rejareja(ijumaa,jumamosi na
jumapili) na kwa watakaotaka kununua kwa jumla watatakiwa kupiga simu
zifuatazo na kupewa maelekezo ya wapi kwenda kulipia mzigo watakaotaka
na kuupata.
0 maoni:
Post a Comment