Mkurugenzi
wa Bendi ya Twanga pepeta Asha Baraka (kulia) akichezesha droo
iliyoandaliwa na Airtel wakati wa Uzinduzi wa Big Brother Africa program
inayoendeshwa na kampuni ya Multhoice – DSTV ambapo Airtel ni wadhamii. akishuhudia ni mtangazaji wa Radio ya Clouds FM MIllad Ayo
Mshindi
wa droo iliyochezeshwa wakati wa uzinduzi wa program ya Big brother
Afrika Akionyesha Samngung tablet aliyozawadiwa na Airtel baada ya
kuchaguliwa mshindi wakati wa halfa ya uzinduzi wa program ya Big Brother Africa 8 iliyofanyika katika ukumbi wa Samakisamaki mjini jijini Dar es Salaam
Maafisa
wa Airtel Tanzania kitengo cha Airtel money wakitoa elimu kwa wateja
waliohudhuria uzinduzi wa Big Brother Afrika namna ya kulipia DSTV kwa
kupitia Airtel Money. Airtel ni wadhamni wa Big Brother Africa – The
Chase inayoendeshwa na DSTV.
Mtangazaji wa Radio na TV Salma Msangi (kulia) akisoma jina la mshindi wakati wa droo iliyochezeshwa kwenye uzinduzi wa wa program ya Big Brother Africa 8
iliyofanyika katika ukumbi wa Samakisamaki ambapo Airtel ni wadhani wa
program hiyo kwa mwaka huu 2013. Pichani (kushoto ) ni mtangazaji wa
Radio ya Clouds FM MIllad Ayo akishuhudia katika ni Afisa mauzo kitengo cha Airtel money Salome Mauki
Afisa huduma kwa wateja kitengo cha Airtel Money Bi Puncenciana Mhally akiongea na wateja wakati wa uzinduzi wa program ya Big Brother Africa 8 iliyofanyika katika ukumbi wa Samaki samaki mjini ambapo Airtel ni wadhani wa program hiyo kwa mwaka huu 2013 inayoendeshwa na kampuni ya Multhoice – DSTV





0 maoni:
Post a Comment