Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Mkurugenzi
Mtendaji wa UNAIDS Michel Sidibe walipokutana na kufanya mazungumzo
pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa
Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo Mkurugenzi
Mtendaji wa UNAIDS Michel Sidibe na ujumbe wake walipokutana pembeni ya
mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU)
katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS
Michel Sidibe pamoja na Mratibu wa Masuala ya Ukimwi wa Marekani Balozi
Eric Goosby walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na
sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao
makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Jamaica Bi. Portia Simpson Miller walipokutana
na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha
miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Waziri Mkuu wa Jamaica Bi. Portia Simpson Miller walipokutana
na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha
miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulishaWaziri Mkuu wa Jamaica Bi. Portia Simpson Miller kwa Mhe Gideon Moi, Seneta wa Kaunti ya Baringo nchini kenya na ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha KANU cha nchi hiyo walipokutana
pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa
Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa,
Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya
Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
kwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mh Liberata Mulamula
walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya
Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa
Misri Mohamed Morsi walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za
kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja
huo jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika Mkutano wa kawaida wa 21 wa
Umoja wa Afrika katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa,
Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa
taaisi ya kimataifa inayoshughulikia mapambano dhidi ya Ukimwei, Kifua
Kikuu na Malaria ya The Global Fund Dkt Mark Dybil na afisa wa taasisi hiyo Bi Shu-shu Tekle-Haimanot walipokutana
na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha
miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) professor Ntumba Luaba na ujumbe wake walipokutana
na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha
miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia

0 maoni:
Post a Comment