Monday, May 20, 2013

CBE DSM NA SAUT MWANZA MABINGWA POOL

 Bingwa Mtetezi wa mashindano ya Pool yajulikayo kama Safari Lager Pool Higher Learning Pool Competitio 2013 Mkoa wa Dar es Salaam na Taifa, Peter Patrick akiwa amebebwa na mashabiki mara baada ya kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Dar es Saalaam tena wakati wa mashindano hayo yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Meeda Sinza jijini Dar es Salaam.
 Mabingwa wa mchezo wa Pool Mkoa wa Dar es Salaam,CBE wakishangilia na kitita cha sh.500,000  mara baada ya kuibuka washidi katika mashindaano hayo yajulikanyo kama Safari Lager Pool Higher Learning Pool Competitio 2013 yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Meeda Sinza jijini Dar es Salaam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU