Monday, May 20, 2013

MWANZA MAMBO YA POOL

 Bingwa  wa mashindano ya Pool yajulikayo kama Safari Lager Pool Higher Learning Pool Competitio 2013 Mwanza,  Vitalis Bakilane akiwa amebebwa na mashabiki mara baada ya kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Dar es Saalaam tena wakati wa mashindano hayo yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Villa Park jijini Mwanza
Nahodha wa timu ya Chuo cha St.Augustine (SAUT),Jimy Nikas akionyesha kitita cha sh.500,000 mara baada ya chuo hicho kutetea ubingwa wa mashindano ya Safari Lager Pool Higher Learning Pool Competitio 2013 Mwanza yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Villa Park.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU