Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mjane wa marehemu Ally
Sykes, Zainab Ally, wakati alipofika
kuhani msiba huo wa mwasisi wa TANU, aliyefariki jana jijini Nairobi.
Marehemu Sykes anazikwa leo jioni jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha
maombolezo ya msiba wa marehemu Ally
Sykes, wakati alipofika kuhani msiba huo wa mwasisi wa TANU, aliyefariki jana jijini Nairobi. Marehemu Sykes anazikwa leo jioni jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiaga na baadhi ya wazee
waliohudhuria shughuli za msiba,
wakati alipokuwa akiondoka baada ya kuhani msiba wa mwasisi wa TANU,
Ally Sykes, aliyefariki jana jijini Nairobi. Marehemu Sykes anazikwa kuzikwa leo jioni jijini Dar es Salaam
0 maoni:
Post a Comment