Tuesday, May 28, 2013

KIPA NAMBA MBILI WA KLABU YA SIMBA ABEL DHAIRA KUONDOKA SIMBA

Kipa namba mbili wa klabu ya simba Abel Dhaira mguu ndani mguu nje kubakia simba baada ya kutakiwa na timu yake ya kwanza ambapo simba walimtoa. Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba ZAKARIA HANSPOP amesema waliamua kumsajili kipa kutoka Kagera ili kuziba pengo la Abel Dhaira ambaye siku yoyote anarudi katika klabu yake aliyokua anachezea mwanzo baada ya klabu hiyo kuonyesha nia yakutaka kumsajili.

Kutokana na kutaka kuondoka kwa kipa huyo Kipa namba moja Juma Kaseja ataendelea kubakia katika klabu ya simba kwani tetesi zilizo enea kuwa ataenda Azam sio za kweli.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU