Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza na waandishi wa
habari, Dar es Salaam leo kuhusu mchakato wa kuwapata washindi wa tuzo
za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013. Wengine (kutoka kushoto) ni
Mratibu wa tuzo hizo kutoka BASATA, Nsao Shalua, Mjumbe wa Kamati ya
Tanzania Music Awards, Agelo Luhala, Mwenyekiti wa Academy Henry Mdimu.





0 maoni:
Post a Comment