Mfuko
unapenda kuwataarifu wananchi wote kwamba inauza nyumba zilizojengwa na Mfuko
katika mikoa ya Dar es Salaam- Ilala (Buyuni), Morogoro (Lukobe), Tabora
(Usule), Mtwara (Mang’amba) na Shinyanga (Ibadakuli).
Bei
ya nyumba ni kati ya Tsh 59,000,000.00 hadi Tsh 80,000,000.00 (Bila ya VAT) kulingana
na ukubwa wa nyumba na Mkoa nyumba ilipo.
Ukubwa wa nyumba ni kuanzia vyumba viwili hadi vinne. Fomu zinapatikana
kwa gharama ya shilingi elfu tano (TShs. 5,000/=) kwenye ofisi za Mfuko
zilizopo mikoa yote nchini.
Waombaji wanaohitaji
kuona na kukagua nyumba wawasiliane na Mfuko kupitia namba 2120912/52 au 2127376.





0 maoni:
Post a Comment