Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi na pia Mbunge wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye
(katikati mwenye suti nyeusi) akipokea sehemu ya msaada wa mifuko 200 kutoka
kwa Meneja Meneja Mahusiano Jamii wa Twiga Cement, Natasha D’Souza, iliyotolewa
na kampuni hiyo kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyosababishwa na mvua katika
kijiji cha Marurani na maeneo jirani wilayani Arumeru Mkoani Arusha hivi
karibuni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Arusha mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi na pia Mbunge wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye
(katikati mwenye suti nyeusi) akimshukuru Meneja Meneja Mahusiano Jamii wa Twiga Cement,
Natasha D’Souza, baada ya kupokea msaada
wa mifuko 200 ya saruji iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia waathirika wa
mafuriko yaliyosababishwa na mvua katika kijiji cha Marurani na maeneo jirani
wilayani Arumeru Mkoani Arusha hivi karibuni.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi na pia Mbunge wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye
(kulia) akizungumza baada ya kupokea msaada wa mifuko 200 ya saruji iliyotolewa na
kampuni ya Twiga Cement kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyosababishwa na
mvua katika kijiji cha Marurani na maeneo jirani wilayani Arumeru Mkoani Arusha
hivi karibuni. Kulia kwake ni Meneja
Meneja Mahusiano Jamii wa Twiga Cement, Natasha D’Souza.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi na pia Mbunge wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole
Medeye
(aliyeshika kamba kulia) akisaidia maandalizi ya ujenzi wa daraja sehemu
iliyoharibiwa na mafuriko katika hafla ambayo kampuni ya Twiga Cement
ilikabodhi msaada wa saruji kusaidia waathirika wa mafuriko
yaliyosababishwa na mvua katika kijiji cha Marurani na maeneo jirani
wilayani
Arumeru Mkoani Arusha hivi karibuni.





0 maoni:
Post a Comment