Mwenyekiti wa Taasisi ya Sikoseli Tanzania, Grace Rubambey (kulia)
akisalimiana na mwendesha baiskeli wa masafa marefu, Alan Knight katika hafla
ya kuchangisha fedha ya ajili ya kusaidia elimu, afya na matibabu ya wagonjwa
wa sikoseli nchini na pia ujenzi wa kituo cha ugonjwa huo katika Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili. Alan hivi karibuni alishiriki mbio za baiskeli za KM 17,718
kutoka Cairo Misri hadi Cape Town nchini Afrika Kusini kwa ajili hiyo. Hafla
hiyo iliyoandaliwa na Taasisi ya Sikoseli Tanzania ilifanyika jijini Dar es
Salaam juzi. Wengine ni baadhi ya viongozi wa taasisi hiyo.
Mjumbe wa Bodi ya Taasisi ya Sikoseli Tanzania, Mhe.
Abdallah Mwinyi (kuli) akisalimiana na mwendesha baiskeli wa masafa marefu,
Alan Knight katika hafla ya kuchangisha fedha ya ajili ya kusaidia elimu, afya
na matibabu ya wagonjwa wa sikoseli nchini na pia ujenzi wa kituo cha ugonjwa
huo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Alan hivi karibuni alishiriki mbio
za baiskeli za KM 17,718 kutoka Cairo Misri hadi Cape Town nchini Afrika Kusini
kwa ajili hiyo. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Taasisi ya Sikoseli Tanzania
ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Grace
Rubambey.
Mwenyekiti wa Taasisi ya ugonjwa wa Sikoseli Tanzania, Grace
Rubambey (kulia) akizungumza katika
hafla ya kuchangisha fedha ya ajili ya kusaidia elimu, afya na matibabu ya
wagonjwa wa sikoseli nchini na pia ujenzi wa kituo cha ugonjwa huo katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Pia walikuwa wakimkaribisha mwendesha baiskeli
Alan Knight (wa tatu kushoto), ambaye hivi karibuni alishiriki mbio za baiskeli
za KM 17,718 kutoka Cairo Misri hadi Cape Town nchini Afrika Kusini kwa ajili
hiyo. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Taasisi ya Sikoseli Tanzania ilifanyika
jijini Dar es Salaam juzi.
Mwambata
wa Kisiasa kutoka Ubalozi wa Canada nchini, Dk. Carol McQueen (kulia) akizungumza katika hafla ya
kuchangisha fedha ya ajili ya kusaidia elimu, afya na matibabu ya wagonjwa wa
sikoseli nchini na pia ujenzi wa kituo cha ugonjwa huo katika Hospitali ya Taifa
ya Muhimbili. Pia walikuwa wakimkaribisha mwendesha baiskeli Alan Knight (hayupo
pichani), ambaye hivi karibuni alishiriki mbio za baiskeli za KM 17,718 kutoka Cairo
Misri hadi Cape Town nchini Afrika Kusini kwa ajili hiyo. Hafla hiyo
iliyoandaliwa na Taasisi ya Sikoseli Tanzania ilifanyika jijini Dar es Salaam
juzi. Ubalozi huo ulitoa shs milioni 30 kwa ajili kusaidia suala la utoaji
elimu kwa jamii kuhusu sikoseli.
Baadhi ya watu waliohudhuria hafla ya uchangishaji fedha
kwa ajili ua ujenzi wa kituo cha kuhudumia wagonjwa wa sikoseli katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili wakiwa katika hafla hiyo ambayo jumla ya shs
milioni 54 zilichangishwa. Ujenzi wa kituo utagharimu shs milioni 75.
0 maoni:
Post a Comment