Msaidizi wa
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Rajinder Singh (wa pili kulia) akikata
utepe kuzindua Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC (NBC-WNF)
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni
Mwenyekiti wa jukwaa hilo, Minnie Kibuta, Mkuu wa Rasilimali Watu wa benki
hiyo, Flora Mollel Lupembe na Meneja Mahusiano Jamii wa NBC, Robi Matiko Simba.
Baadhi wa wafanyakazi wanawake wa NBC wakiwa katika
hafla ya uzinduzi Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa benki hiyo
(NBC-WNF), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC wakibadilishana
mawazo wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake
Wafanyakazi wa NBC (NBC-WNF), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Viongozi wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa
Benki ya NBC, wakipozi kwa picha muda mfupi baada ya kufanyika kwa uzinduzi
rasmi wa mtandao huo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.





0 maoni:
Post a Comment