Monday, June 3, 2013

ASHA BARAKA AZINDUA STUDIO MPYA YA KUREKODI FLAVAR INK ILIYOPO KINONDONI

 Mtayarishaji wa muziki wa studio hiyo YANKIE BULLA akiwa katika studio hiyo mpya ya FLAVAR INK iliyopo kinondoni vijana

  Mtayarishaji wa muziki wa studio hiyo YANKIE BULLA akiwa katika studio hiyo mpya ya FLAVAR INK iliyopo kinondoni vijana

Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka  amezindua studio mpya inayojulikana kama FLAVAR INK ambayo inafanya kazi ya kurekodi muziki wa aina zote 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU