Monday, June 3, 2013

MIAKA KUMI TANO YA TWANGA KUFANYIKA JUNE 30 LEADERS JIJINI DSM

Bendi ya TWANGA PEPETA itanatarajia kufanya maamzimisho ya miaka 15 tangu kauanzishwa kwa bendi hiyo juni 30 jijini DSM mkurugenzi wa bendi ya TWANGA PEPETA ASHA BARAKA amesema kwamba wameanza maandalizi ya onyesho hilo ambalo linatarajia kuwa la  aina yake.sherehe hizo pia watazindua albamu mpya inayojulikana kama NYUMBANI ni NYUMBANI na kufanya mauzo ya albamu ya dunia daraja 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU