
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza
maelezo kutoka kwa msimamizi wa Mashine ya kutafiti Vyakula
na Mazingira, Remigius Kawala, wakati Makamu alipotembelea Taasisi ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania, iliyopo eneo la Njiro
jijini Arusha leo, Juni 25, 2013 baada ya kufungua mkutano wa 24 wa
mwaka wa nguvu za Atomiki Tanzania, wa Utafiti na Mfunzo ya ukuaji wa Teknolojia ya Sayansi ya Nyuklia, ulioanza leo Juni 25, 2013 katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwahutubia washiriki wa kutano, wakati akifungua rasmi
Mkutano wa 24 wa mwaka wa nguvu za Atomiki Tanzania, wa Utafiti na
Mfunzo ya ukuaji wa Teknolojia ya Sayansi ya Nyuklia, ulioanza leo Juni 25, 2013 katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akionyeshwa baadhi ya maeneo ya Taasisi hiyo, wakati alipotembelea katika Taasisi hiyo iliyopo Njiro jijini Arusha.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo leo, Juni 25, 2013 katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia na kusikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi
wa Idara ya Kinga ya Mionzi, Ukaguzi wa Vifaa, Dkt. Willbrod Muhogola,
wakati Makamu alipotembelea Taasisi ya Tume ya Nguvu za Atomiki
Tanzania, iliyopo eneo la Njiro jijini Arusha leo, Juni 25, 2013 baada
ya kufungua mkutano wa 24 wa mwaka wa nguvu za Atomiki Tanzania,
wa Utafiti na Mfunzo ya ukuaji wa Teknolojia ya Sayansi ya Nyuklia,
ulioanza leo Juni 25, 2013 katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa
Taasisi ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania, iliyopo eneo la Njiro
jijini Arusha, baada ya kuzungumza nao alipotembelea Taasisi hiyo leo Juni 25, 2013. Picha na OMR
0 maoni:
Post a Comment