Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa
heshima za mwisho mblele ya jeneza lenye mwili wa
aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, marehemu, Timoth Apiyo,
aliyefariki dunia nchini Afrika ya Kusini alikokuwa amelazwa kutokana
na kusumbuliwa na maradhi.
Shughuli hiyo ya kuaga mwili wa marehemu imefanyika leo Juni 15, 2013 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, na baadaye mwili ulisafirishwa kuelekea Mkoani Mara kwa maziko.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji
wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho
mblele ya jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi,
marehemu, Timoth Apiyo, aliyefariki dunia nchini Afrika ya Kusini
alikokuwa amelazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi. Shughuli hiyo ya
kuaga mwili wa marehemu imefanyika leo Juni 15, 2013
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, na baadaye mwili ulisafirishwa kuelekea Mkoani Mara kwa maziko. Picha na OMR
Asha-Rose Migiro, akipita kutoa heshima zake za mwisho.
0 maoni:
Post a Comment