Mojawapo ya vivutio vikubwa katika jiji la Singapore ni hoteli hii ya
kitalii na casino iitwayo Marina Bay ambayo kuna jengo la mgahawa lenye
umbo la meli juu ya majengo yake mawili
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakitembezwa kwenye makao
makuu ya Mamlaka ya Ustawishaji Upya wa Miji Upya ya Singapore leo Juni
6, 2013 ambapo wanajionea mfano wa jiji hilo ukiwa umetengenezwa
mahususi kwa kuhakikisha mji unapangwa na kusimamiwa kisayansi kwa
mipango miji ya muda mfupi na muda mrefu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake katika picha ya pamoja na
viongozi wa Mamlaka ya Ustawishaji Upya ya Miji ya Singapore leo Juni 6,
2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakitembelea Taasisi ya Elimu
ya ufundi (Institute of Technical education) iliyo sawa na VETA kwa
Tanzania leo Juni 6, 2013.ambapo pamoja na mambo mengine walijionea
jinsi wanafunzi wake wanavyofundishwa kuunda vipuli vya aina mbalimbali
ikiwa ni pamoja na vya ndege
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake katika picha ya pamoja na
viongozi wa Taasisi ya Elimu ya Ufundi ya Singapore baada ya kutembelea
kampasi yao jijini Singapore leo Juni 6, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakitembezwa kwenye makao
makuu ya Mamlaka ya Ustawishaji mijini ya Singapore leo Juni 6,
2013.ambapo wanajionea mfano wa jiji hilo ukiwa umetengenezwa mahususi
kwa kuhakikisha mji unapangwa na kusimamiwa kisayansi kwa mipango miji
ya muda mfupi na muda mrefu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake katika picha ya pamoja na
viongozi wa Mamlaka ya Ustawishaji Upya wa miji ya Singapore leo Juni 6,
2013.
Baadhi ya wafanyabiashara walioongozana na Rais Jakaya
Kikwete katika ziara ya kikazi nchini Singapore wakiwa katika picha ya
kumbukumbu na mawaziri walio katika msafara huoleo Juni 6, 2013. . Wa pili kushoto ni Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akifuatiwa na Waziri
wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda na Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison
Mwakyembe (wa tatu) kulia.
0 maoni:
Post a Comment