Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza
na wanafunzi wa wa CBE pamoja na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa
hafla ya kuwapongeza Chuo cha Biashara cha CBE kwa kutwaa ubingwa wa mashindano
ya Pool yaliyojulikana kwa Safari Lager Higher Learning Pool Competition 2013
yaliyomalizika juni 2,mwaka huu katika Viwanja vya Leaders jiji ni Dar es
Salaam iliyofanyika katika Hoteli ya Chichi Kinondoni .Kulia ni Katibu wa Chama
cha Pool Tanzania(TAPA), Amos Kafwinga.
Wanafunzi wa Chuo cha CBE wakicheza muziki wakati wa hafla
ya kuwapongeza Chuo cha Biashara cha CBE kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya
Pool yaliyojulikana kwa Safari Lager Higher Learning Pool Competition 2013
yaliyomalizika juni 2,mwaka huu katika Viwanja vya Leaders jiji ni Dar es
Salaam iliyofanyika katika Hoteli ya Chichi Kinondoni .
Wanafunzi wa Chuo cha CBE wakipata kinywaji wakati wa hafla
ya kuwapongeza Chuo cha Biashara cha CBE kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya
Pool yaliyojulikana kwa Safari Lager Higher Learning Pool Competition 2013
yaliyomalizika juni 2,mwaka huu katika Viwanja vya Leaders jiji ni Dar es
Salaam iliyofanyika katika Hoteli ya Chichi Kinondoni .
Wanafunzi wa Chuo cha CBE wakichukua chakula kinywaji wakati
wa hafla ya kuwapongeza Chuo cha Biashara cha CBE kwa kutwaa ubingwa wa
mashindano ya Pool yaliyojulikana kwa Safari Lager Higher Learning Pool
Competition 2013 yaliyomalizika juni 2,mwaka huu katika Viwanja vya Leaders
jiji ni Dar es Salaam iliyofanyika katika Hoteli ya Chichi Kinondoni .
KAMPUNI ya
Bia Tanzaina (TBL) kupitia Bia yake ya Safari Lager imewapongeza mabingwa wa
Taifa wa mashindano ya Pool,Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam(CBE)
yaliyojulikana kwa “Safari Lager Higher Learning Pool Competition 2013
yaliyomalizikika mwanzoni wa mwezi juni katika Viwanja vya Leader jijini Dar es
Salaam
Akizungumza
na wachezaji wa timu ya CBE pamoja na wanafunzi wenzao waliokuwa wamealikwa
kwenye hafla ilifanyika katika Hoteli ya Chichi Kinondoni jijini Dar es Salaamo,Meneja
wa Bia ya Saafari Lager, Oscar Shelukindo alisema ni furaha ya pekee kuona
mchezo wa pool unakua mara baada ya kuupeleka katika wanafunzi wa elimu ya juu
na kuonekana unahamasa kubwa hata kupelekea kuyashinda mashindano ya kitaifa.
Alisema
Shelukindo,Safari lager itahendelea kudhamin I mchezo huo mpaka jamii itambue
kuwa ni mchezo kama michezo mingine na si mchezo wa kihuni kama taswira
ilivyokuwa inaonyesha hapo awali.
Shelukindo
alisema ni jukumu lenu sasa kuhakikisha mnakuwa mabalozi wazuri wa kuusapoti
mchezo huu na kuwafundisha wengine na la zaidi kuendelea kunywa Bia ya Safari
Lager Bia namba moja Afrika ili iendelee kudhamini mashindano hayo.
Shelukindo
aliwapongeza CBE kwa kutwaa ubingwa na kuwatia hamasa wajipange mapema mwaka
,kesho ili ubingwa huo uendelee kubaki CBE na Mkoa wa Dar es Salaam uendelee
kupata sifa nzuri ambako ndiko makao makuu ya uzalishaji wa Bia ya Safari
Lager.
Nae Naahodha
wa timu ya CBE,Abubakari Amri aliwashukuru
na kuwapongeza Chama cha mchezo wa Pool Tanzania (TAPA) kwa kuendeleza
mchezo wa Pool Tanzania lakini zaidi aliwapongeza Bia ya Safari Lager kwa
kudhamini mchezo wa Pool na kufafanyia tafrija ya pongezi ambayo hawakuitegemea
na kuwaomba waendelee kudhamini na wao kama CBE waliahidi kuendelea kushikilia
ubingwa huo si mwaka kesho tu bali na miaka yote inayokuja.
Chuo cha
Biashara cha CBE kwa kutwaa ubingwa Juni 2 mwaka huu kilizawadiwa fedha taslimu
shilingi 2,500,000.pamoja na Kikombe na mshindi wa pili katika mashindano hayo
alikuwa ni Mzumbe Mbeya na Mzumbe Morogoro ilikamata nafasi ya tatu ambapo
mabingwa watetezi SAUT Mwanza walitupiliwa mbali na kushika nafasi ya nne.
0 maoni:
Post a Comment