Tuesday, July 9, 2013

POOL NA NGOMA ZA ASIL BALIMI WASHINDI WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAO

 Mgeni rasmi katika mashindano ya Ngoma za asili mkoa wa mwanza, chini ya Udhamini wa Balimi Extra Lager Afisa utamaduni  Nyamagana  Bi Haika lauwo akimkabidhi fedha tathilimu shilingi laki 6 kiongozi wa kundi la Utandandawazi baada ya kuibuka washindi wa mashindano hayo (kushoto) Andre  Mbwambo Meneja Masoko TBL kanda ya ziwa ( Kulia ) Erick Mwayela Meneja Matukio( TBL) kanda ya ziwa
 Wasanii wa Kundi la Utandawazi wakishangilia mara baada ya kutangazwa mabigwa  wa mashindano ya ngoma za asili mkoa wa Mwanza mashindano hayo yamedhaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania-TBL kupitia Bia yake ya  Balimi Extra Lager
 Kundi la Utandawazi likiwa katika jukwaa kuu mara baada ya kutangazwa mabingwa wa mashindano ya ngoma za asili mkoa wa Mwanza mashindano hayo yamedhaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania-TBL kupitia Bia yake ya  Balimi Extra Lager
Erick Mwayela Meneja Matukio( TBL) kanda ya ziwa Akikabidhi zawadi ya fedha tathilimu shilingi 700000/=  kwa nahodha wa klabu ya Pasiansi Mabigwa wa mashindano ya Safari Lager National Pool Competition 2013 Mkoa wa Mwanza Michael George katikati Mwenyekiti wa chama cha mchezo wa Pool Mkoa wa Mwanza Zacharia Zabron kushoto ni Mratibu wa mashindano hayo Alfani.
Erick Mwayela Meneja Matukio( TBL) kanda ya ziwa Akikabidhi zawadi ya fedha tathilimu shilingi 350,000/=  kwa Bingwa wa Mchezaji Moja Mmoja kwa wanamme (singles) Fidelis Salaba  katika  mashindano ya Safari Lager National Pool Competition 2013 Mkoa wa Mwanza ambayo yamemalizika mwishoni mwa wiki iliyopita(kushoto )ni Mratibu wa mashindano hayo Alfani.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU