Thursday, August 22, 2013

AIRTEL WAKABIDHI NYUMBA KWA MASHINDI WA NYUMBA


Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya (katikati) akiongea na mshindi wa nyumba wakati walipotembelea nyumba yake kigamboni jijini Dar es salaam
 Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya akikata utepe na familia ya Mshindi wa nyumba wa promosheni ya Airtel yatosha shinda nyumba  bwana Silvanus Juma (wa kwanza kushoto) wakati wa makabithiano ya nyumba yalifanyika kigamboni jijini Dar es Saalam
 Mshindi wa nyumba wa promosheni ya Airtel yatosha shinda nyumba  bwana Silvanus Juma pamoja na mke wake wakiingia katika nyumba wakati walipotembelea nyumba kigamboni jijini Dar es saalam
 Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya  akimkaribisha mshindi wa nyumba bwana Silvanus Juma pamoja na familia yake  wakati wa makabithiano ya nyumba yalifanyika kigamboni jijini Dar es Saalam

 Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya akimkabithi ufunguo wa nyumba mshindi wa  kwanza wa nyumba ya  promosheni ya Airtel Yatosha shinda nyumba  bwana Silvanus Juma  katika halfa makabithiano iliyofanyika kigamboni jijini Dar es Saalam, akishuhudia ni mke wa mshindi wa nyumba
Mshindi wa nyumba wa promosheni ya Airtel yatosha shinda nyumba  bwana Silvanus Juma akifurahia ushindi na mama yake mzazi mara baada ya kutembelea nyumba kigamboni jijini Dar es salaam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU